SOMA ALICHOKIANDIKA MANSU-LI KWA MASHABIKI WAKE
Asanteni watu wangu mnao LIKE huu UKURASA/
Nipo kwa ajili yenu endeleeni kunipa HAMASA/
Haswa mnaonikubali kwa hii yangu MICHANO/
Na kisha hamjistukii kuja kunipa TANO/
Wanaosubiri nikate kauli kisha ndo WANISIFU/
Sintoweza kuwashukuru, asanteni kwa wenu UTIIFU/ "PAY HOMAGE,RESPECT"
No comments:
Post a Comment