Search

Monday, June 17, 2013

PICHA: MAREHEMU SHARO AKIPIGA DILI NA SIRI YA MTUNGI KABLA YA KIFO CHAKE.

picha ya marehemu sharo akijiandaa kupiga kazi na igizo la siri ya mtungi lililokuwa linarushwa na  East African (Television( CHANEL 5)

SOMA ALICHOKIANDIKA MANSU-LI KWA MASHABIKI WAKE


Asanteni watu wangu mnao LIKE huu UKURASA/
Nipo kwa ajili yenu endeleeni kunipa HAMASA/
Haswa mnaonikubali kwa hii yangu MICHANO/
Na kisha hamjistukii kuja kunipa TANO/
Wanaosubiri nikate kauli kisha ndo WANISIFU/
Sintoweza kuwashukuru, asanteni kwa wenu UTIIFU/ "PAY HOMAGE,RESPECT"